Translator

IMETOSHA

HHCTZ

BREAKING NEWS



BREAKING NEWS: Losam5 ....>>>>>>"Fashion,Entertainments,Science and Technology".......>>>>>>>Smile's Zone 5

Jumanne, 19 Novemba 2013

JE, BETRI YA SIMU YAKO HAIDUMU KWA MUDA MREFU?


Simu ya Nokia ikiwa na Vifa vyake
1. Hakikisha bidhaa za simu husika, kwa mfano unatumia Nokia basi hakikisha unatumia bidhaa za Nokia kama chaji au betri toka Kampuni ya Nokia.Tazama picha kulia.

2. Hakikisha betri ya simu unayohitaji kununua iwe na namba sawa na ya mwano  iliyo kuwa katika simu yako.

losam5
Pin ya chaji ya Nokia
3. Kama chaji ili aribika nunu aina sawa na ili uliokuwa nayo mwanzo ikiwa na simu yako. Epuka chaja kutumia chaja yoyote ilimradi inaingiza chaji kwenye simu yako, itachangia kuaribika mapema simu yako/kutokaa kwa muda mrefu ikiwa na chaji.

4. Chaji simu yako baada ya chaji  kuisha kabisa kwenye simu na si kuongeza chaji wakati  Betri imebaki na kiasi kidogo cha chaji, itapunguza wezo wa kudumu kwa muda mrefu.

5. Epuka kuchaji simu kwa muda mrefu kuliko muda wa kawaida kuchaji simu wa saa 2 hadi 3, kwakuwa ukichaji kwa muda mrefu ni mwanzo mzuri wa kuiua betri yako au kupunguza uwezo wa kutunza chaji.

Natumaini mambo haya matano 5 yatakusaidia kuitunza betri yako  na kukaa na chaji kwa muda mrefu.