Translator

IMETOSHA

HHCTZ

BREAKING NEWS



BREAKING NEWS: Losam5 ....>>>>>>"Fashion,Entertainments,Science and Technology".......>>>>>>>Smile's Zone 5

Jumamosi, 26 Oktoba 2013

TYPICAL AFRICAN (KIAFRIKA)

Watu wengi tunapenda kuvaa na kupendeza. Lakini je, unajua kuwa unaweza kupendeza pia kwa kuvaa kiafrika?

1. Mavazi ya Kiafrika
Kuna mavazi  mazuri ya Kiafrika yanayoweza kukupendezesha na yalliotengenezwa Kiafrika. Kuna mavazi ya Batiki, Kitenge na Kanga.

2. Mapambo
Katika mapambo kuna vidani, mikufu, bangili na hereni zilizotengenezwa  Kiafrika. Zipo zilizotengezwa kwa kutumia Shanga, Vifuu, Kanga au Vitenge.

3. Viatu
Kuna viatu vya aina tofauti tofauti ambavyo pia vimetengenezwa Kiafrika. Vipo vilivyotengezwa kwa shanga na ngozi, vitenge, kanga na batiki.
losam5

4. Mikoba
Kuna mikoba ya kike na kiume ambayo pia imetengenezwa kwa batiki, ngozi, vitenge, kanga na shanga.

5. Vipochi
Kuna vipochi vya aina tofauti na ukubwa tofauti ambavyo vimetengenezwa na nyuzi za kufuma, shanga, vitenge, kanga, batiki na ngozi.

Kwa ujumla, ukijipamba Kiafrika utapendeza kama hivi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni