Translator

IMETOSHA

HHCTZ

BREAKING NEWS



BREAKING NEWS: Losam5 ....>>>>>>"Fashion,Entertainments,Science and Technology".......>>>>>>>Smile's Zone 5

Jumamosi, 26 Oktoba 2013

SABABU MPYA ITAYOKUFANYA UIPENDE BLACKBERRY 10 SMARTPHONE TENA

Kwanini?
Hilo ni swali la msingi sana, kwani kila mtu leo anazungumza kuhusu simu za kisasa zenye teknolojia za hali ya juu.
 
Blackberry 10 imepata mfumo mpya utakayoifanya Blackberry yenye mfumo wa 10 OS kuwa yenye mvuto zaidi.
 
Blackberry Imeweka Mfumo Mpya Unaweza kuupakua(download)
Sasa unweza kupata mfumo mpya kwa simu yako ya Blackberry 10 na kuwa Blackberry 10.2 utakayoifanya simu yako kuwa na muonekano bora zaidi.
 
Mambo gani basi yalio katika Mfumo huo wa 10.2?
  • Blackberry Priorty Hub
  • Blackberry Natural Sound
  • BBM ambayo itakakoyokuwa ikipatikana pia katika aina zingine za simu za kisasa kama zinazotumia Android na iSO.
10.2 OS huu ni mfumo bora zaidi katika toleo hili ukilinganisha na toleo la Blackberry 10 OS. Katika toleo hili mfumo huu unafanya kazi haraka zaidi na ni rahisi kutumia na kufanya simu kuwa ya kisasa.
 
Licha ya kampuni ya Blackberry kuzorota katika soko la simu duniani bado linaendelea kujikaza kifua mbele kwa kuendelea kutoa matoleo mapya ya programu ya simu zake na matoleo mapya ya simu.
 
Imeboresha zaidi matumizi ya matandao wake wa kijamii wa BBM hivyo kuweza kuwasiliana na mtu kupitia kamera iliyo katika uso wa simu huku kukiwa na usikivu mzuri wa sauti na picha bora.
 
Hivyo ndio kampuni ya Blackberry inayozidi kujikongoja katika soko lenye ushindani mkali wa teknolojia wa simu zenye mifumo ya kisasa.
 
Je, unamaoni gani kuhusu kampuni hii? Karibu!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni