![](http://4.bp.blogspot.com/_qVUuGvd6R2A/TSWLWHX8M3I/AAAAAAAAAEY/QeRGOH_KPsg/s320/yteg97.jpg)
Tazama na unaeza kusema ni miujiza lakini ni hali halisi ambayo unastahili kukubali, ni kompyuta ya kwanza duniani ambayo eneo lake la screen linapisha nuru na unweza kumuona hadi mtu wa upande wa pili bila ya kupashida ya kuifunika...
Je. wapena kujua zaidi usikose kutembelea Blog hii wakti wowote upatapo nafasi ya kufanya hivyo...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni