![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuT7V-pwsNy56wH_giwTYCp4gzCOVYSMUXCnDg-ojJhEQjb-RT0PK80Xg2Vvi3L5AX3M1EOhYF6rTy2VNBNICkYKQ8sGP_c7NXu_Zp5dwMjJoI-jf1it8DGiog1vJIhx9VFKu1C6SXMHJK/s320/Image1727.jpg)
Safari kupandisha Mlima Uluruguru kuelekea Eneo linaloitwa Bahati Camp, Eneo zuri sana kwa mtu anaependa kupandisha katika madhari nzuri ya Milimani hasa wakati wavua kiasi au wakati wa kiangazi kwani unaweza pia kuogelea na kuota jua au pia unaweza kufurahia kivuli kizuri huku ukitazama wanyama na ndege mbalimbali wa mlimani, wanyama wanaopatika eneo hili zaidi ni Ngedere.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni