Unene wa kupita kiasi ni hal inayomtoke mtu pale mafuta yanaporundikana kwenye tishu za mwili na kusababisha matatizo kwenye moyo, figo, ini, vingu vya magoti n.k
Mtu akiwa na uzito wa usio wa kawaida huweza kupatwa na magonjwa kama shinikizo la damu, kisukari, magonjwa misuli, ini na kibofu cha mkojo. Kwa ujmla unene kupita kiasi si mzuri kwa afya..unapaswa kuugopa unene usio faa.
Namna ya kujikinga na tatizo la unene kupita kiasi na njia za kuzibiti kwa kutumia asali kwa kuchanganya na limau. Kiasilli asali ni nzuri sana kutibu tatizo la unene na shinikizo la damu. Na kwa kutumia viti hivi wala usiwe na shaka hutopoteza hamu yako ya kula.
JINSI YA KUTAYALISHA ASALI NA LIMAU
Kuna imani kwa baadhi ya watu kwamaba mchanganyiko wa asali na limau ni sumu, jambo hilo si kweli. Ukwerli ni kwamba mchanganyiko huu amabao ni alkalaini mwilini sumu bali ni tiba kwa matatizo ya kafya likiwemo unene.
NJIA
Weka asali mbichi kwenye kijiko kidogo kimoja kasha weak katika glasi yenye maji ya uvuguvugu, kasha weka vijiko vikubwa viwili vya maji ya limau,ukimaliza kufanya hivyo kologa taratibu na kasha unywe asubuhi kabla ya kula chochote asubuhi, au baada ya kula mlo wenye mafuta mengi, mchanganyiko huo husaidia usagaji wa chakula na kuondoa sumu mwilini.
MUHIMU
Zingatia pia ulaji wako wa vyakula, epuka matumizi ya mafuta mengi katika chakula, itakua ni kazi bure ikiwa unatumia tiba huku ukiendelea na matumizi ya chakulachenye mafuta mengi. Pia ufanyaji wa mazoezi yataimalisha mwili wako na kuwa katika hali nzuri kiafya.
KUMBUKA
1. Epuka kula chakula kupita kiasi.
2. Fanya mazoezi.
3. Kunywa maji ya kutosha kila siku.
Manukuu machache ya habari kwa msaada wa http/;abdallahmrisho.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni