Hatimaye Zanzibar yatoa Kamusi mpya na ya kwanza katika Kiswahili, kamusi hiyo imechukua takribani miaka saba hadi kufikia kukamilika kwake mwaka huu wa 2010, na kuzinduliwa Raisi mstaafu wa Zanzibar Abeid Karume...na ndani ya kamusi hiyo kuna maneno kama Dikodiko-likimaanisha mchuzi,Kipechuo - Kijiti cha kuondolea mabaki ya chakula kwenye meno. Bila shaka wapenzi wa kiswahili watafurahia sana Kamusi hii mpya.
Unamaoni kuhusu habari hii?
Unaweza kuchangia kwa kutuma maoni yako moja kwa moja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni