Translator

IMETOSHA

HHCTZ

BREAKING NEWS



BREAKING NEWS: Losam5 ....>>>>>>"Fashion,Entertainments,Science and Technology".......>>>>>>>Smile's Zone 5

Jumapili, 31 Mei 2015

HARUSI YA RAFIKI YANGU MPENDWA BW. FRED NA BI. DELLY

Ukumbi: Nashera Hotel
Rangi: Gold and Red
Mpambaji: Ms Mwampamba
MC: Maulid Kambaya wa ITV/Radio One
Maharusi: Fred na Delly

MATUKIO KATIKA PICHA 





Mama mzazi wa Bw. Harusi mwenye gauni lenye rangi nyekundu akiingia ukumbini pamoja na ndugu zake

Dada ya Bw. Harusi akiwa na uso wa furaha

Familia ya Bi. Harusi ikiingia Ukumbini

Bw. Fred pamoja na mke Bi. Delly wakiingia Ukumbini





Maids wakiwa watulivu wakimsikiliza MC


Ulipigwa mziki mmoja matata wa kufungua sherehe



Kwaito zikaendelea kama kawaida kila mtu akionyesha ufundi wake






Bw. Fred akitoa utambulisho kwa familia yake

Wageni waalikwa wakiendelea kuburusha koo zao


Meza ikiwa imejaa vinywaji

Bw. na Bi. Harusi wakifungua Champagne  





Ngoja nipime mapigo ya moyo wako mke wangu, bila shaka haya yalikuwa maneno ya Bw. Harusi






Bw. Harusi na Best man wake wakiwa katika meza ya wazazi wa upande wa mwanamke

Muda wa kukata keki ulifika






Nilishe nukulishe hii ndiyo ishara ya upendo




Msosi wa nguvu ulikuwepo pembeni na kisukumio baridiiiiii


Hapa ilikuwa kula na kunywa kuweka tumbo sawa


Wafanyakazi wenzie na Bw. Harusi wakitoa neno


Kamati ya harusi ikiwa katika picha ya pamoja na Bw. na Bi. Harusi

Wakicheza mziki wa taratibu


Nawatakia maisha marefu ya ndoa yenu mpya Best yangu Fred na Mke wako mpendwa Delly.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni