Bride to be: Flora Lyimo
Colour: Carote and Orange
Venue: Midland Inn Hotel
|
| Midland Hall |
| Ukumbi ulipambwa hasa ukapambika |
| Hapa je? aisee pamependeza kweli kweli si utani! |
| Wazazi wa Bi. Flora wakiingia ukumbini |
| Bi. Flora na Mpambe wake Bi. Ashura wakiingia Ukumbini |
| Wacha tucheze zetu leo ni siku yangu mwaya |
| Hapa nampongeza fundi pia kwa vivazi bomba kweli kweli |
| Hapa ni mpaka kieleweke nani mkali kwenye shoo hii, mwendo wa kwaito tu |
| Bi. Flora na mpambe wako wala hawakuwa nyumba. Hii inaitwa twende pamoja kushoto kulia. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni