Sio lazima ununue pochi za bei ghali dukani. Kuwa mbunifu,toka bomba kwa pochi ya kitenge. Yaweza kufaa kwa sherehe na matembezi ya kawaida. Zinapatikana katika ukubwa na miundo tofauti tofauti.
| Jaribu sasa, nenda na wakati ukiwa na pochi ya kitenge. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni