![](http://3.bp.blogspot.com/_qVUuGvd6R2A/TSWJVzzcBVI/AAAAAAAAAEQ/l6OxL4l-UTI/s280/4ukefzm.jpg)
Usiulize utaipata vipi, bali jiulize inatumia cd aina gani? na je, flash disk pia inatumika inaweza kuwa kubwa hivi kwa inabidi ubebe kwenye mfuko mkubwa..lakini zaidi ya yote je, vitufe vyake(kwenye keypad) utatumia nini ili kuweza kuzibonyeza. Je, utatumia miguu au utatumia mti kubonyeza au utatumia mikono? Ndo mambo ya Teknolojia hayo wa usishangae,..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni