Pages - Menu

Jumamosi, 4 Desemba 2010

TUNAMTENGEZEA MAISHA GANI MTOTO WA KIKE?


Mwanafunzi huyu alipaswa kuwa darasani akisoma, badala yake akioneka akichota maji kwa ajili ya Walimu wake,kwa stahili hii kweli tutamuwezesha msichana kama huyu kupata Elimu itakayo msaidia kuja kujitegemea? Tena hapa akiwa bila viatu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni