Pages - Menu
Jumapili, 31 Mei 2015
HARUSI YA RAFIKI YANGU MPENDWA BW. FRED NA BI. DELLY
Ukumbi: Nashera Hotel
Rangi: Gold and Red
Mpambaji: Ms Mwampamba
MC: Maulid Kambaya wa ITV/Radio One
Maharusi: Fred na Delly
MATUKIO KATIKA PICHA
Nawatakia maisha marefu ya ndoa yenu mpya Best yangu Fred na Mke wako mpendwa Delly.
Rangi: Gold and Red
Mpambaji: Ms Mwampamba
MC: Maulid Kambaya wa ITV/Radio One
Maharusi: Fred na Delly
MATUKIO KATIKA PICHA
| Mama mzazi wa Bw. Harusi mwenye gauni lenye rangi nyekundu akiingia ukumbini pamoja na ndugu zake |
| Dada ya Bw. Harusi akiwa na uso wa furaha |
| Familia ya Bi. Harusi ikiingia Ukumbini |
| Bw. Fred pamoja na mke Bi. Delly wakiingia Ukumbini |
| Maids wakiwa watulivu wakimsikiliza MC |
| Ulipigwa mziki mmoja matata wa kufungua sherehe |
| Kwaito zikaendelea kama kawaida kila mtu akionyesha ufundi wake |
| Bw. Fred akitoa utambulisho kwa familia yake |
| Wageni waalikwa wakiendelea kuburusha koo zao |
| Meza ikiwa imejaa vinywaji |
| Bw. na Bi. Harusi wakifungua Champagne |
| Ngoja nipime mapigo ya moyo wako mke wangu, bila shaka haya yalikuwa maneno ya Bw. Harusi |
| Bw. Harusi na Best man wake wakiwa katika meza ya wazazi wa upande wa mwanamke |
| Muda wa kukata keki ulifika |
| Nilishe nukulishe hii ndiyo ishara ya upendo |
| Msosi wa nguvu ulikuwepo pembeni na kisukumio baridiiiiii |
| Hapa ilikuwa kula na kunywa kuweka tumbo sawa |
| Wafanyakazi wenzie na Bw. Harusi wakitoa neno |
| Kamati ya harusi ikiwa katika picha ya pamoja na Bw. na Bi. Harusi |
| Wakicheza mziki wa taratibu |
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)