Translator

IMETOSHA

HHCTZ

BREAKING NEWS



BREAKING NEWS: Losam5 ....>>>>>>"Fashion,Entertainments,Science and Technology".......>>>>>>>Smile's Zone 5

Jumamosi, 28 Desemba 2013

MAGAUNI BOMBA YA KITENGE #1

Unatokea mbele za watu huku ukiwa na na gauni lako la kitenge limeshonwa vizuri na watu wote wanageuka na kutazama. Kwanini wanakutazama? Kwakuwa umevaa nguo zinazovutiwa na watu wengi, kwani kitenge kinakubali kila mtindo jambo la msingi ni utaalam wa fundi tu!

Kwa hakika linapendeza Hasa...




Unalionaje hili?

Hapo je? 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni